Mchungaji Msigwa: 2010 alimgaragaza RC Monica Mbega, 2015 akamgaragaza DC Mwakalebela, 2020 RC Chalamila kabadili gia angani!

Mchungaji Msigwa: 2010 alimgaragaza RC Monica Mbega, 2015 akamgaragaza DC Mwakalebela, 2020 RC Chalamila kabadili gia angani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Siyo kwamba RC Albert Chalamila hautaki ubunge wa jimbo la Iringa mjini la hasha bali ameisoma historia ya mchezo.

Haya mambo siyo ya kuyaamini sana eti " lazima nitashinda" kuna maeneo yana visiki hadi unashangaa kwanini huwa having' oki pamoja na figisu zote.

Hongera RC Chalamila.

Maendeleo hayana vyama!
 
Acha uongo, mzee asas hana interest na siasa, mtoto wake aitwae Salim ndo ana interest hizo.

Salim ndo MNEC wa mkoa wa Iringa
Kuna mzee anaitwa ASAS ndio kidooooogo anaweza mshtua msigwa hawa wengine wote ni mtelezo tu hata angebaki MAHIGA
 
Acha uongo, mzee asas hana interest na siasa, mtoto wake aitwae Salim ndo ana interest hizo.

Salim ndo MNEC wa mkoa wa Iringa

ASAS katika siasa za Iringa anacheza nyuma ya pazia. Simuoni akiingia front hata kidogo

Nguvu yote ya CCM Iringa lazima ina mkono wa ASAS
 
Ina mkono wa Salim Asas, sio mzee Asas mwenyewe
ASAS katika siasa za Iringa anacheza nyuma ya pazia. Simuoni akiingia front hata kidogo

Nguvu yote ya CCM Iringa lazima ina mkono wa ASAS
 
Back
Top Bottom