johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa Asas school mate wangu pale The Highlands sec school!Kuna mzee anaitwa ASAS ndio kidooooogo anaweza mshtua msigwa hawa wengine wote ni mtelezo tu hata angebaki MAHIGA
CCM wakikosea tena kwenye kuteua yatakuwa yale yale..... Nasikia wanampendekeza Mollel!Sio kwa 2020
Kuna mzee anaitwa ASAS ndio kidooooogo anaweza mshtua msigwa hawa wengine wote ni mtelezo tu hata angebaki MAHIGA
Acha uongo, mzee asas hana interest na siasa, mtoto wake aitwae Salim ndo ana interest hizo.
Salim ndo MNEC wa mkoa wa Iringa
Kwani Salim ni kijana?Acha uongo, mzee asas hana interest na siasa, mtoto wake aitwae Salim ndo ana interest hizo.
Salim ndo MNEC wa mkoa wa Iringa
ASAS katika siasa za Iringa anacheza nyuma ya pazia. Simuoni akiingia front hata kidogo
Nguvu yote ya CCM Iringa lazima ina mkono wa ASAS
Kwani Salim ni kijana?
Uongo uko wapi sasa? Kwani nmesema ASAS anataka kugombea?Acha uongo, mzee asas hana interest na siasa, mtoto wake aitwae Salim ndo ana interest hizo.
Salim ndo MNEC wa mkoa wa Iringa
Wewe unahangaika humu jf mwenzio keshazichanga. U school mate hausaidii.Hahahaaaa Asas school mate wangu pale The Highlands sec school!
Hahahaaaa...... Hata yeye tuko naye humu.Wewe unahangaika humu jf mwenzio keshazichanga. U school mate hausaidii.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Anampa kampani Tundu Lisu!Huyu si anagombea Urais?