Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi

Ni Dhambi kubwa na ovu kwa Mtumishi wa MUNGU, kumshuhudia mwingine uongo.

Mchungaji wa Kondoo, rudisha vitabu vya MUNGU na mapambo mengine Kanisani na uingie kwenye siasa za maji taka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Dhambi kubwa na ovu kwa Mtumishi wa MUNGU,kumshuhudia mwingine uongo.
Mchungaji wa Kondoo,rudisha vitabu vya MUNGU na mapambo mengine Kanisani na uingie kwenye siasa za maji taka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa lingine unafanya..., daudi nabii na mfalme alifanya mpaka mauaji na bado MUNGU mwema akamsamehe sasa itakuwa mch.msigwa unajitoa ufahamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona hivi basi ujue either Msigwa atamfuata alipo Kinana,
Au Kinana atamfuata alipo Msigwa,

Time will tell....
 
Wanataka wampe kinana agombee Urais

Wameanza kumsafisha [emoji3]

Ila Chadema wasisahau hatuna sera za uraia pacha Tanzania
hakuna jipya...halafu ni Mchungaji akawaombe na waumini msamaha kwa kuwadanganya pia..
 
Siasa na Dini ni kitu kibaya sana hasa pale usipokuwa makini ,sasa huyu ni Mchungaji anahudumia watu kiroho tena anasema uongo au nimesoma vibaya kuwa sio mchungaji?

Kazi ipo bora aeleweke tu aache siasa awe Mchungaji au Awe Mwana siasa Maisha yaendelee anawapa !mfano gani waumimi, Ndo maana nalisifia Kanisa letu Pendwa Catholic huwa halina haya mambo ya kuanzIsha makanisa bila mpangilio kazi ipo.

pujo
 
Kumbe wewe ni muongo, msingiziaji, mzushi na mbabaishaji. Hii ni kwa UKIRI NA KUKIRI kwako mwenyewe. Muombe radhi "mungu" wako aliyekupa huo "uchungaji".
 
Hapo ndipo penyewe,hivi kasingizia wangapi na mangapi .
 
huyu mchungaji kweli mzandiki. anadai anaomba radhi kwa kashifa alizotoa bungeni wakati alishtakiwa kwa kashfa alizotoa mbugani mwanza.
 
Ajipange sasa kumuomba radhi Mbowe, hakutumwa kuropoka yale na CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…