mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Kipindi wimbi la wapinzani kuunga mkono juhudi,ilikuwa ni project moja ya kushangaza sana,
Kulikuwa na dalili zote za wapinzani kununuliwa,unaitwa Ikulu unasomewa dhambi zako za kukwepa kodi TRA au dhambi nyingine unaambiwa uchague uunge mkono juhudi au kesho tukutane Kisutu RMC ,au tukufilisi?
Lowassa mzee wa watu aliitwa akasomewa dhambi zake na malaika mkuu aliyekuwa amwjeti kiti cha enzi,akaambiwa jinai haifi,join us or andaa mawakili wako tukachane Kisutu.
Msigwa na JPM ni ndugu kabisa,vijana wao wameoana,Msigwa aliambiwa atalipwa mafao yake ya ubunge na bonus juu kiasi cha takribani milioni 500 na cheo juu,ila akagoma, lengo la JPM ilikuwa ni kumuonea huruma ndugu yake asije kufa njaa huko mbeleni,sema Msigwa hanunuliki ,ni msafi sana,ni mchungaji kwelikweli ana hofu ya Mungu.