Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Poleni kwa uchaguzi walioshidwa, na hongereni, kwa washindi . Ukiwa mwanasiasa ni muhimu sana uwe smart na creative sana katika kufanya mamuzi sahihi na wakati sahihi.
Lengo la kuwa mwasiasa mwisho wa siku lazima upate fedha,au uweze kunufaika na hizo siasa, asikudanganye mtu,eti mimi najitolea tu kama mzalendo "foolish" siasa ni kz kama kz zingine.
Mchungaji Msigwa kwa miaka aliyo kaa chadema hakika anafahamu siri nzito sana za chadema.
Pole kwa Tundu Lissu na pole kwa heche na wengine wenye kariba kama za hao, ukijua vzr mchezo wa siasa za Tanzania unao endelea, utaendelea kula bata.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.