Pre GE2025 Mchungaji Msigwa amebeba taswira halisi ya Wapinzani wa Tanzania

Pre GE2025 Mchungaji Msigwa amebeba taswira halisi ya Wapinzani wa Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Fikiria jinsi Mchungaji Msigwa alivyoaminiwa na Chadema pamoja na Wanachama wote

Kumbe ni Fursa ya Vyeo na kupata Fedha ndio ilimuweka Chadema lakini hakuwa na Mapenzi yoyote na kile Chama

Mchungaji Msigwa alipokosa cheo na Fedha akajisalimisha Chama Dume faster

Na hii ndio Tabia ya wapinzani wote kasoro Maalim Seif tu

Ahsanteni Sana 😂
 
Msigwa aliitwa na Magufuli na kuahidiwa Mabulungutu ya kutosha lakini alikataa ndo maana sote tulimuheshimu sana na sasa kaamua kuhama kwa hasira zake tu.
 
Back
Top Bottom