Mchungaji Msigwa: Hakuna binadamu asiyebadilika

Mchungaji Msigwa: Hakuna binadamu asiyebadilika

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Duuuh siasa mchezo wa ajabu sana

Namsikiliza mh msigwa hapa star TV

Anaulizwa ulisema uwezi hama chadema imekuwaje

Chadema sio dini

Anakwambia hakuna bonadamu asiebadilkaaaa

Hata Paulo alikuwa anaua watu wanaomshabikia Yesu lakini alipojielewa akaanza kutangaza neno la Mungu na kumsifu Yesu

Amen
 
kanifurahisha

nilikuwa kipofu sasa naonaaaa
 
Duuuh siasa mchezo wa ajabu sana

Namsikiliza mh msigwa hapa star TV

Anaulizwa ulisema uwezi hama chadema imekuwaje

Chadema sio dini

Anakwambia hakuna bonadamu asiebadilkaaaa

Hata Paulo alikuwa anaua watu wanaomshabikia Yesu lakini alipojielewa akaanza kutangaza neno la Mungu na kumsifu Yesu


Amen
Ajiulize ni Wapi alipo Juliana Shonza ndio atakua hajui kuwa CCM wakimalizana na wewe wanakutupa
 
ukiwa na babako ama mamako mwanasiasa akikwambia...mvua inanyesha ndugu toka nje kagua...
 
mm sio chawa

chawa hawana facts
 
tutajenga daraja tukifika kwenye mto...utaojua hiooo
 
Ukweli ni kwamba Peter amewapika hasa. Ilifika mda hadi Odemba akawa inabidi asikilize kwa makini na maswali akawa kama yanaisha.
"Vyama vya upinzani vipaswa kuwa visafi zaidi ya CCM Ili kuwavutia watu kiviunga mkono na kupata credibility ya kuikosoa CCM".
 
Wafahamu watu watatu Tanzania wanaodaiwa BILLIONS kwa kosa la kuchafua watu bila ushahidi (Defamation)
1-Cyprian Musiba aliyakanyaga kwa Membe (2B)
2-Mwijaku Mwemba kwa Masoud Kipanya (5B)
3-Peter Msigwa kwa Mbowe,(5B)

Midomo iliponza kichwa 😂😂😂
Screenshots_2024-09-07-23-13-05.png
 
Hqhajaaa na tigo..sema walilipq kwa wasaniii
 
Mario ya kipindi huwa siku gani na saa ngapi?
 
Back
Top Bottom