Karibu CCM MSIGWA. Karibu sana.
Umenikumbusha Maneno ya Mwana farsafa nguli Tanzania, the late Ruge Mutahaba. Aliwahi kusema kuwa, "Muogope Mungu, Lakini pia ogopa teknologia".

alichofanya msigwa ni kitu ambacho mtu yeyote mwenye akili angekifanya.
1. unashuhudia mtu mmoja tu kuwa mwenyekiti wa maisha wakati wapo wasomi na wenye akili na uwezo kuliko yeye.
2. unashuhudia mtu analamba asali, anatokea gerezani hadi ikulu na ananyamaza kimyaaa. kama sio yule wa awali kabisa.
3. unashuhudia unyama kwa chacha wangwe.
4. unashuhudia usaliti kumpokea lowasa na sumaye na namna dr slaa alivyoondoka.
5. unashuhudia ukabila kwenye chama.
6. unashuhudia Mrema na timu yake wamekuja eneo lako la kugombea uenyekiti nyasa, anakunywa pombe pamoja na mpinzani wako nadi saa sita usiku, unapiga kelele mwenyekiti wako kimyaaa, na inasemekana mwenyekiti kaagiza wewe ndio uchinjiliwe mbali kwenye kinyang'anyiro.
7. wajumbe wawili waliotakiwa kupiga kura hawajapiga ili wewe ushindwe.
8. uchaguzi unaisha, unalalamika, lakini kimyaaa kwa king mbowe.
9. na siri nyingii ambazo anazo atazimwaga wakati wa kampeni mwakani.
10. Tundu Lisu hana hata gari wakati yeye ndiye mpiganaji mkuu kuliko hata mbowe, hadi anachangiwa kununua gari, hata mbowe hapigi changizo wakati kuna pesa kibao za ruzuku kutokana na covid 19.
kwa kifupi, hata Tundu Lisu, anakosa tu pa kwenda, amekichoka chama, amemchoka mbowe, amechoka ukabila. kungekuwa na chama kingine nje ya ccm, Tundu Lisu angeshaenda kitambo sana. na Tundu Lisu naye, ni mwanadamu, naamini uzalendo utamshinda muda si mrefu, atajiunga na ccm kwasababu hana chama kingine kwa sasa, chadema imemwacha kama anapambana peke yake na mwenyekiti inaonekana zile asali huwa hamgawii.
Wachunge tu kauli zao...lakini mwanasiasa kuhama chama si tatizo, maana wote ni wachumia tumbo. Angalau Mzee Lowasa (RIP) alihama ili kuharakisha mabadilikiko na hakumchafua yeyote huko alipotoka, japo yeye alisimangwa!
alichofanya msigwa ni kitu ambacho mtu yeyote mwenye akili angekifanya.
1. unashuhudia mtu mmoja tu kuwa mwenyekiti wa maisha wakati wapo wasomi na wenye akili na uwezo kuliko yeye.
2. unashuhudia mtu analamba asali, anatokea gerezani hadi ikulu na ananyamaza kimyaaa. kama sio yule wa awali kabisa.
3. unashuhudia unyama kwa chacha wangwe.
4. unashuhudia usaliti kumpokea lowasa na sumaye na namna dr slaa alivyoondoka.
5. unashuhudia ukabila kwenye chama.
6. unashuhudia Mrema na timu yake wamekuja eneo lako la kugombea uenyekiti nyasa, anakunywa pombe pamoja na mpinzani wako nadi saa sita usiku, unapiga kelele mwenyekiti wako kimyaaa, na inasemekana mwenyekiti kaagiza wewe ndio uchinjiliwe mbali kwenye kinyang'anyiro.
7. wajumbe wawili waliotakiwa kupiga kura hawajapiga ili wewe ushindwe.
8. uchaguzi unaisha, unalalamika, lakini kimyaaa kwa king mbowe.
9. na siri nyingii ambazo anazo atazimwaga wakati wa kampeni mwakani.
10. Tundu Lisu hana hata gari wakati yeye ndiye mpiganaji mkuu kuliko hata mbowe, hadi anachangiwa kununua gari, hata mbowe hapigi changizo wakati kuna pesa kibao za ruzuku kutokana na covid 19.
kwa kifupi, hata Tundu Lisu, anakosa tu pa kwenda, amekichoka chama, amemchoka mbowe, amechoka ukabila. kungekuwa na chama kingine nje ya ccm, Tundu Lisu angeshaenda kitambo sana. na Tundu Lisu naye, ni mwanadamu, naamini uzalendo utamshinda muda si mrefu, atajiunga na ccm kwasababu hana chama kingine kwa sasa, chadema imemwacha kama anapambana peke yake na mwenyekiti inaonekana zile asali huwa hamgawii.
Mchungaji unayasema haya mambo baada ya kutoka! Ulitakiwa uyaseme yote haya ukiwa ndani. Wakati mwingine usimubali kuwa mwoga unapotaka kusimama kwenye ukweli.

unapoteza muda kufikiri mimi msigwa. msigwa hana uwezo wa imani kuandika kama ninavyoandika mimi kwasababu bado anamhitaji Bwana, aokoke kabisa. ila tukija kisiasa, naunga mkono kwa alichofanya pengine mbowe ataelewa. hata TL anakosa tu pa kwenda, angekuwa na pa kwenda angeshaondoka.
Karibu CCM MSIGWA. Karibu sana.
Umenikumbusha Maneno ya Mwana farsafa nguli Tanzania, the late Ruge Mutahaba. Aliwahi kusema kuwa, "Muogope Mungu, Lakini pia ogopa teknologia".
Sometimes inabidi waropoke vile ili kuzidi kuwajengea imani ili muone kua kweli huyu ni mwenzetu kabisa,kumbe watu wako kwa kazi maalumu! Nchi ngumu hii usimuamini hata rafiki yako wakaribu,maana saa yoyote ile anaweza tumika kama kazi maalumu kwako!!
Nassari hata Mimi alinishangaza Sana. Kachaguliwa ubunge kwa kura nyingi, ghafla anahamia CCM Tena kwa kukimbia vikao vya bunge. Leo kafichwa kwenye Udc