Hakika Msigwa, naamini unafuatilia mitandao ya kijamii ili kujua mambo yanavyoendelea duniani. Nimeona na kusikia Nape akielezea mambo yanayofanywa na chama chako pendwa, CCM. Najua kwamba Roho wa Mungu bado haujatoka kabisa moyoni mwako, huenda bado masalia ya hofu ya Mungu yapo.
Swali langu ni, ni dawa gani uliyotoka nayo huko ulikotoka ambayo inaweza kutibu suala alilosema Nape? Ingawa Makalla, anayejulikana kama AMOS, Roho wa Mungu alishatoka kabisa kwake, anajaribu kuuficha ukweli. Wakati huo, Nape, ambaye ni Senior kwenye uenezi, ameeleza wanachofanya!
Nakumbuka uliwahi kusema kwamba CCM ni wezi wa kura, kama haukutamka kwa kinywa chako basi angalau uliunga mkono. Na sasa umeenda kushiriki katika wizi huo, huku ukijua ni dhambi. Moyo wako unasemaje, je, uko kwenye njia sahihi?
Kama ningekuwa mimi Msigwa, ningeachana na siasa, maana CCM hakukaliki. Ndiko kulikojaa nilichokuwa nikitangaza kukikataa: rushwa, wizi wa kura, na mengineyo. Chadema, hata hivyo, haturudiki! Tufanyeje Msigwa, tukomae hivyo hivyo? Ila nafsi inatusuta!