Msigwa tangu ahame CHADEMA na kukimbilia CCM amekuwa akitoa sababu za kitoto sana za yeye kuhama chama(CHADEMA) na kuhamia CCM.
Zaidi sana amekuwa akimtuhumu Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe kwa tuhuma nyingi.
Binafsi naona huo ni utoto kwa sababu kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kukimbia chumba "A" kinachonuka na kukimbilia chumba "B" kinachonuka vile vile kisha anaanza kuwashambulia waliobaki chumba A. Issue si chumba bali ni usalama wa kile chumba.
Binafsi ningempongeza sana mh. Msigwa kama angeachana na CHADEMA na ama kuanzisha chama chake cha siasa au kubaki bila chama.