Ni kapuuzi tu.Kamezeeka na ujingaujinga.Msigwa ukimsikiliza ni kama hata yeye binafsi haamini anachokisema. Anakuwa na woga fulani kwa mambo anayotasema huku akijua ni uongo
Of course Mbowe ni tatizo Sugu!Mh. Msigwa tangu ahame CHADEMA na kukimbilia CCM amekuwa akitoa sababu za kitoto sana za yeye kuhama chama(CHADEMA) na kuhamia CCM...
UsitupangieOf course Mbowe ni tatizo Sugu!
Lakini jitahidini kutomjadili huyo mjinga Msigwa!! Mnapomjadili mnampa kiki Bure.
Mpotezeeni
Ni miongoni mwa machawa wa CCM walikokuwa Chadema wameona wamekosa nafasi za juu za chama kwa ajili ya kupeleka taarifa CCM wamehamua kurudi CCM.Mchungaji Msigwa wakati fulani anatakiwa kujifunza kushukuru. Maana huyo Mbowe anaye mnanga, alimtoa jalalani huko. Hivyo asinyee kambi. Akumbuke kuna leo na kesho!
Halafu kitu kingine cha kujiuliza; je, kama angetetea ile nafasi yake ya Uenyekiti wa Kanda, bado angehamia ccm?
Ukweli mchungu ni kwamba watanzania wengi ni wajinga,wenye ufaham finyu na rahisi kudanganywa na wanasiasa,Tz ni taifa dhaifu na maskini kwa sbb bdo wajinga ni wengi sn,wapo ht wasomi wa chuo lkn ni wajingaMsigwa tangu ahame CHADEMA na kukimbilia CCM amekuwa akitoa sababu za kitoto sana za yeye kuhama chama(CHADEMA) na kuhamia CCM.
Zaidi sana amekuwa akimtuhumu Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe kwa tuhuma nyingi.
Binafsi naona huo ni utoto kwa sababu kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kukimbia chumba "A" kinachonuka na kukimbilia chumba "B" kinachonuka vile vile kisha anaanza kuwashambulia waliobaki chumba A. Issue si chumba bali ni usalama wa kile chumba.
Binafsi ningempongeza sana mh. Msigwa kama angeachana na CHADEMA na ama kuanzisha chama chake cha siasa au kubaki bila chama.
Kwanza amechokwa mapema mno wa hadithi zilezile. Bora hata akina Halima kunyamaza kwao kunawainuaMsigwa tangu ahame CHADEMA na kukimbilia CCM amekuwa akitoa sababu za kitoto sana za yeye kuhama chama(CHADEMA) na kuhamia CCM.
Zaidi sana amekuwa akimtuhumu Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe kwa tuhuma nyingi.
Binafsi naona huo ni utoto kwa sababu kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kukimbia chumba "A" kinachonuka na kukimbilia chumba "B" kinachonuka vile vile kisha anaanza kuwashambulia waliobaki chumba A. Issue si chumba bali ni usalama wa kile chumba.
Binafsi ningempongeza sana mh. Msigwa kama angeachana na CHADEMA na ama kuanzisha chama chake cha siasa au kubaki bila chama.
Kwanza amechokwa mapema mno wa hadithi zilezile. Bora hata akina Halima kunyamaza kwao kunawainua
Ana tabia za kike asichokijua hata hao CCM wenyewe wanam zoom tu kwenye side mirror.Msigwa tangu ahame CHADEMA na kukimbilia CCM amekuwa akitoa sababu za kitoto sana za yeye kuhama chama(CHADEMA) na kuhamia CCM.