ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Mwanasiasa mkongwe aliyehamia kwenye Chama chetu CCM kutoka CHADEMA hatumwoni kama mwenzetu. Kila akiongea namwona kama hajajua miiko, mtoto unajaa mate, anaropoka tu.
Alivokuwa CHADEMA alikuwa mtu mahiri nondo kweli ila Sasa yupo kama dishi linayumba au amekata tamaa, Makoti hayamtoshi, sare ya CCM haimpendezi, akiongea hasikiki kama anaropoka tu.
Hata anavowapa CHADEMA unaona kabisa ni kama haimtoki moyoni, au anawasingizia ili atimize tamaa zake za kuteuliwa au kupewa jimbo agombee ya yupo yupo tu.
Kwani mtu akihama Chama hadi uwaseme vibaya, matusi mazito.
Sisi watu majini tunamdharau yaani watu umeishi nao miaka 20 halafu unakuja kutudhihirisha kuwa hawakuwa na jema lolote kwako.
Kwani ulisema nimehamia CCM Kuna sera nzuri ila nawashakuru CHADEMA walionilea na kunikomaza kisiasa kuliko kuwapaka kashfa na matusi tu.