Mchungaji Msigwa usoni hafanani na CCM, hatumwoni kama mwenzetu

Kwanza ukimsikia anaongea ni as if bado yupo CHADEMA maana anatumia 'sisi chadema'.
 
Msigwa ukimchunguza tembea yake, anavyo kaa, anavyoongea na anavyoangalia watu utagundua huko nyuma hakuwa hivyo. Amebadilika sana bilashaka kunamtu anamtia kichwa Msigwa
 
Utamwonaje mwenzako wakati ww Ni ufipa.. kwanza leo mmepigwa spinner pale mwembetogwa balaa kumbe chadema Mambo ya hela za ruzuku hamruhusiwi kuhoji bwana mbona mlikuwa hamsem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…