Mchungaji Msigwa: Watu wa kada tofauti tofauti Waichambue Ripoti ya CAG, wasiachiwe CHADEMA Peke yao!

Mchungaji Msigwa: Watu wa kada tofauti tofauti Waichambue Ripoti ya CAG, wasiachiwe CHADEMA Peke yao!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa kamati kuu mchungaji Msigwa ametoa rai Watu tofauti tofauti kujitokeza na kuchambua Ripoti ya CAG.

Msigwa amesema Viongozi wa dini, Viongozi wa Ngo, Wanasheria na Wataalam wengine wasaidie kuchambua Ripoti ya CAG iliyojaa Wizi na Ufisadi badala ya kuwaachia Chadema Peke yao.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
Back
Top Bottom