Mchungaji Mtikila atoa Kali

hahahaha yaani mtikila anazeeka vibaya sana...Nimejaribu kuangalia hiyo picha yake nimetafakari mambo mengi sana alafu nikaanza kucheka mwenyewe...this dude mayn he is such a great comedian hahahaha!....duuh!
 
Designer wa Mch Mtikila ni mkali sana ndala na kiatu hahaha kazi kweli kweli!
 

Mchungaji ana uzee gani jamani!!! Hao watawala wetu wana tofauti gani na Mtikila kiumri????
 
 
Mtikila badala ya kujitokeza na kuelezea kesha rudisha shilingi ngapi zile za Rostam, anakuja na story ya nyoka! huyu kweli kiboko.
Atafute jambo lingine la kumpatia kipato, maana style yake ishastukiwa
 
Kama sio maelekezo ya mganga wake wa kienyeji basi anahitaji kufanyiwa mental health assessment, tena na nguvu na haraka!
 
Msikitini mnazungumza habari za mtume muhamad kuoa mtoto wa miaka sita.
msikitini kutakuwa na vituko zaidi kama maustadhini wenu wataamua kuwapa hadithi zote za mtume wenu feki.


Sidhani kama msikitini masheikh wanafanya miujiza kama kanisani, wachungaji wanadai wanaponyesha vilema, ukimwi, kufunuliwa n,k, kwa maana hiyo sitoona ajabu kuamini vituko vya Mtikila, na ndo maana nikasema, angeubiri haya kanisani waumini wake wange msifiya kapata baraka za Bwana, aleluja, Ameen

Kanisani kunavituko vingi
 
Sijaona tatizo la Mtikila kuvaa ndala......mlitaka avae nini? mguu wake kwa mujibu wake una matatizo..naoana wengine wanasema wanamshangaa kwa kuvaa kandambili.....wabongo bwana......

.....kasema kaumwa na nyoka na kakaa siku tatu*kwa mujibu wa habari) sasa mnabisha nini?
 
Anaweza kweli kuwa kaumwa na nyoka kwani ni binadamu kama wengine, lkn kitendo cha kujitangaza kaumwa na nyoka ndo maana yake nini,wanachi wangapi wameumwa na nyoka na wamenyamaza? Watu waliozoea kuandikwa kwenye magazeti bwana matatizo ndo hayo, wanaleta hata mambo ambayo c ya msingi kwenye magazeti na vyombo vya habari wakati tuna mambo mengi saana ya kujadili,kama c usanii nini nini?
 
Sehemu zingine sio lazima nichangie neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…