Mchungaji mtoto ezekiel stoddard ana miaka 11 na anaongoza kanisa

NEW NOEL

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
863
Reaction score
408
Ana miaka 11 tu lakini ameshaanza kuwashangaza watu wengi kutokana na jinsi anavyohubiri neno la Mungu. Ezekiel Stoddard mtoto anayedai kuwa alipata wito wa kumtumikia Mungu miaka miwili iliyopita. Na ilipofika may mwaka huu akawekwa wakfu kuwa mtumishi wa Mungu katika kanisa la Fulliness of Time huko Maryland Marekani.

POPOTE TZ
 


yote yanawezekana kwa aaminiye!
Anaviinua vinyonge ili kuvifisha vinavyoonekana vyenye thamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…