Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kipindi kile kabla kidogo na baada ya uchaguzi wa kanda ya Nyasa Msigwa alijinasibisha na Lissu kila mahali alipokuwa .. Ni kipindi ambapo Msigwa alikuwa keshafika bei na kupokea advance! Na ni kipindi ambacho alikuwa anamtafutia Lissu timing ili amsomeshe.
Haijulikani ni lini hasa Msigwa na dalali wake walimvaa Lissu lakini kwa tahadhari ile aliyoitoa Lissu akiwa kwenye mkutano wao hadhara Pale Singida kuhusu pesa chafu kwenye chaguzi za CHADEMA ni wazi ilikuwa ni kipindi hicho na mhusika mkuu alikuwa pasta mchungwaji.
Pasta mchungwaji na dalali wake ni wazi walikuwa na list ndefu ya viongozi waliokwisha pokea mlungula lakini ni wazi hiyo list haikuwa genuine na pasta naye alikuwa kaingizwa cha jiji.
Ni kwavile tu hatukuwa makini kumwangalia mchungwji siku ile Lissu anaongea kuhusu pesa chafu lakini mlengwa alipata taharuki kwa vyovyote
Baada ya uchaguzi pasta mchungwaji alipigwa chini na ndipo alipozidi kumganda Lissu.. Lissu akimkataa mazima na kuondoka zake Manyara then mapumzikoni Ubelgiji.
Hivi anavyohangaika sasa Msigwa ni kutokana na mambo mawili makubwa
1. Kupigwa chini kwenye uchaguzi
2. Kushindwa kumshawishi Lissu apokee rushwa
Kuna mengine madogodogo lakini hayo ndio makubwa