Pre GE2025 Mchungaji ndio alimpeleka Abdul kwa Makamu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Msigwa hayupo chakademus… Na angekua ni yeye kampeleka Lissu angesema because Msigwa is no longer with chakademus

Msikwepe fact kwamba rushwa ipo chakademus

Mkikwepa hilo mtakua mnaua chama
 
CHADEMA inajitofautisha vipi na historia ndefu na chafu ya kulindana ya CCM ?

Kwa nini mwana CHADEMA aliyeleta rushwa nyumbani kwa Lissu analindwa ???

Abduli alileta hela ili Tundu Lissu afanye nini, mbona hasemi ?

Ina maana Tundu Lissu angekuwa Rais au kiongozi mkubwa kwenye serikali inayoundwa na ya CHADEMA halafu akajaribiwa kuhongwa na yeye angeficha ficha taarifa za mafisadi kama style zile zile za CCM ?

Haya maswali ni ya Tundu Lissu
 
Mmh
 
kwahiyo huyo muungwana mchungaji, alipigwa chini kwenye uchaguzi pale nyasa, kwa pesa za nani kwa mfano pale chadema?

na je,
makamu mwenyekiti taifa, alivyokua anabweka bweka kipindi kile kwenye uchaguzi huo, ati kuna pesa inatembezwa kwenye uchaguzi ule wa kanda ya nyasa, alikua anambwekea nani hasa, kwa mfano pale chadema?

halafu,
kumbe makamu mwenyekiti ni muoga sana ee
au hana uhakika na anachotuhumu?

inaonekana kabisa hazipendi au anazichukia sana pesa za kitanzania taifa lake anaziita rushwa, ila madolla ya mabwenyenye ya magharibi yanayompa backup ya chini kwa chini kanakwamba ni siriiiiiii... hiyo anaona ni takrima tu au charity anapewa....

ila kiukweli makamu mwenyekiti taifa anawagwaya mno msigwa na mwenyekiti Taifa, ingekua si hivyo hungeona mayowe na kubwekabewka bila utaratib huko mtaani nje ya reli
 
Mtajuana wenyewe kenge nyie.
Asante🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Lissu amseme HADHARANI huyo Mtu aliyempeleka Abdul kwake kwa lengo la kwenda kumhonga.
Ni Msigwa ila muda wa kumtaja haujatimia
Tuu
kama Mbwai na iwe mbwai, mwaga video aumbuke
Muda haujatimia.. Vita bado kuna silaha si za kutumia sasa
Si ulisema Polepole alikuwa anahonga wapinzani, umesahau?
Indio nilisema
Tuupe muda wakati
Mbona Nimesikia Wenje?
Muda utasema lakini wawili hao wanahusika
Tunampinga mwandishi kwa vile ukisikiliza anazungumzia huyo aliyempeleka Abdul kwake yupo CDM. Je, Msigwa yupo CDM sasa? Mshana Jr unajiangusha. Bora kuwa kimya ili utunze heshima yako
Upe muda wakati njinjo na usitake kunifunga mdomo kwa kigezo cha heshima
Msigwa ndo muasisi wa rusha ndani ya chadema.
Narudia namfahamu msigwa na namjua.
Yeye ni mpenda pesa na ngoneka na kondoo wake.
Naweza kuweka ushahidi mkihitaji
expand...Msigwa ndo muasisi wa rusha ndani ya chadema.
Narudia namfahamu msigwa na namjua.
Clip za tukio hazipo? Leteni tuangalie wenyewe.
Mchafu hachafuki tena
 
Hawa ni wapuuzi. Afterall amesema yupo chadema. Je, Msigwa yupo chadema? Wake up Mshana Jr jipange upya
Nitajipanga kwa post nyingine njinjo sio hii.. Hii nimeshamaliza hakuna nilichobakisha
 
Nitajipanga kwa post nyingine njinjo
Mbona kuna member kasema ni Wenje?!
List ni ndefu
 
Stori yako ni ya kipropaganda. Lissu katamka kuwa kiongozi wa CHADEMA ambaye bado yuko CHADEMA kwa sasa ndo alimpelekea rushwa. Msigwa tayari kashahama sasa inakuwaje tena aendelee kuwa kiongozi wa CHADEMA? Kwa ufupi tu ni kuwa kiongozi huyo sio mwingine ila Mbowe mwenyewe. Hakuna kiongozi wa ngazi za chini anayeweza kumvaa Lissu kwa jambo kama hilo. Mbowe na genge lake la wachaga waamue kumfukuza Lissu au waache kumvuruga kisaikolojia. Lissu ndo karata ya uhai wa CHADEMA iliyobakia. Mbowe na wachaga wenzake washachafuka mno na hawaaminiki.
 
Ulichoandika si kweli ila aliyempeleka Abdul kwa Lissu sio Msigwa bado yuko Chadema , Muda utaongea maana Kila kitu kilirekodiwa
 
Kumtaja Abdul kunatosha,hakuna haja ya kumtaja dereva na aliyewaonyesha njia.
Abdul kama Abdul, hana uwezo kabisa wa kwenda moja Kwa moja eti Kwa ajili ya kuonana na Lissu, kwa hiyo Kuna mtu aliyewakutanisha ambaye anafahamiana na kuheshimiana sana na Lissu, kwa maana hiyo Kuna umuhimu sana wa huyu mtu kutajwa na ni swala la muda tu ukweli utawekwa wazi
 
Mbona kaenda ccm ?.yote kwa yote msigwa ndiye aliyechuka hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…