Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Mimi muslim, najivunia sana imani yangu na sina mpango wa kubadili dini ila huwa napenda kuangalia mafundisho ya kujifunza mambo kuhusu maisha.
Nikakutana na video za Mchungaji Pascal aisee, jamaa yupo vizuri. Siyo mtu wa upako ila ni mlokole anaejielewa.
Unaweza kumtafuta kwa yeyote anayejihisi amekata tamaa ya maisha.