Mchungaji Paul Mackenzie akutwa na hatia, afungwa Mwaka mmoja Jela

Mwaka 1 tu? Dah haya mambo kanisani hayataisha. Lkn kwanini wakiristo wamekuwa wepesi kuhadaiwa na wachungaji? Waislam pekee hakubali upuuzi kama hii
Ukifikiria ugaidi nakosa majibu YA swali la msingi
 
Mwaka 1 tu? Dah haya mambo kanisani hayataisha. Lkn kwanini wakiristo wamekuwa wepesi kuhadaiwa na wachungaji? Waislam pekee hakubali upuuzi kama hii
Ukifikiria ugaidi nakosa majibu YA swali la
 
Si ndio huyo Yuko hapo kwenu Dar anawaombea mpate utajiri 😁😁
 
Alafu peddy anapeewa 7 behind bars🤣🤣🤣watu feki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…