Nimemkumbuka huyu Mchungaji aliyeweza kufundisha mafundisho yaliyopelekea wafuasi wake wa kukaribia 1000 kujiua/kuuwawa hapo Kenya mwaka jana
Hii inafafa na Mchungaji Kibwetere wa Uganda naye aliua waumi wake karibia idadi hiyo hiyo hapo Uganda
Kwa kipindi hiki nafikiri waumini wanatakiwa wawe makini na wanachofundishwa kwani baadhi ya Watu hutafsiri vitabu vya dini kwa kupotosha ili kupata maana wanayoitaka kwa faida yao....