Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa peter Msigwa ameendelea kuvurumisha Makombora Mazito mazito kwa CHADEMA,ambayo yameonekana kuteketeza na kusambaratisha kabisa kambi zoote za CHADEMA na kuwafanya askari wake kuishi kwa kutanga Tanga muda wote.
Mtumishi huyo wa Mungu aliyepitia mambo mbalimbali yaliyomkomaza na kuuona Mkono wa Mungu ukigusa Maisha yake ,ameonekana kuwa mwenye furaha ,tabasamu na matumaini makubwa sana tangia alipojiunga na CCM chama kiongozi Barani Afrika na ambacho kimekuwa tumaini la mamilioni ya watanzania.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Kikubwa ni wote wenye akili Timamu na wanaojitambua waliobakia CHADEMA kuhakikisha mnachukua hatua haraka kujiunga na CCM na kuanza upya maisha ya furaha na amani kuliko kuishi kwenye chama ambacho hakina uwezo hata wa kujisimamia.