Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
''Chama cha siasa siyo imani, lakini hata imani watu wanahama. Ni ndoa ya ki-katoliki tu ndiyo ambayo huwezi kuachana, chama cha siasa kama nilivyosema kwamba tuna nchi ya kujenga''
---
Ndugu zangu watanzania,
Hayo ni Maneno yaliyotamkwa na mchungaji Peter Msigwa,Mbunge wa Zamani wa Iringa mjini.
Sina maneno mengi wala siweki neno langu lolote lile zaidi ya kuwawekea tu picha ili ninyi ndio mjadili kwa utulivu bila mihemuko wala jazba wala hasira wala chuki binafsi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.