Mchungaji Samuel Sambali wa Urambo amefariki dunia.

Steven Sambali

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2008
Posts
364
Reaction score
182
Kwa wale wenyeji wa Tabora na zaidi kwa wilaya ya Urambo na waumini wa kanisa la Moravian Church jimbo la Magharibi, nasikitika kuwatangazia kifo cha Mchungaji Samuel Silanda Sambali kilichotokea leo huko Urambo.

Alikuwa akisumbuliwa na maradhi mbalimbali yanayochangiwa pia na uzee na akawa akitibiwa ila jana jioni hali yake ikawa mbaya zaidi na leo asubuhi amefariki. Mazishi yatafanyika kesho jioni terehe 13/11/2010 saa kumi (16 hrs) huko Urambo na msiba kuwa hukohuko Urambo ambako alifanya kazi na kuishi.

Mungu ampe mapumziko mema, Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…