KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,118
- 40,850
Sikuwa na mambo yaliyohitaji michango lakini wao ndio waliokuwa na mambo waliyoona wanahitaji kuchangiwa.....na hapa nilipobalisha mtazamo na kustopisha michango sikuwa na deni na mtu la michangoUmewachangia wote waliokuchangia mkuu?
hapa bongo baada ya mabeberu kukasirika hali ya demokrasia, hata bajeti yetu imeyumba,,,,,, bajeti ingekua kwa mujibu wa kipato isingeyumba.Michango ni ukarimu na udugu. Sio kila anayechangiwa hana fedha. Watu wanapenda cooperation and socialization.
Hapa ndipo penyewe mkuu. Inashangaza watu wanagoma kumchangia mgonjwa lakini akifa wanajimwambafai kununua jeneza la dhahabu na kusafirisha mwili kwa ndege.Hapo ndipo tunatakiwa tuhamasishane, mambo ya kufa na kuzikana hayana tija.
Ufe kwanza ndio watoe michango ya kukuzika, inasaidia nini kama niliishiwa panado na sikuchangiwa?
Hapo sawa mkuu. Basi huyu mchungaji atulie kwanza watu wamalize kulipana michango waliyochangishana.Sikuwa na mambo yaliyohitaji michango lakini wao ndio waliokuwa na mambo waliyoona wanahitaji kuchangiwa.....na hapa nilipobalisha mtazamo na kustopisha michango sikuwa na deni na mtu la michango
Mkuu watu wanalipana michango waliyochangiana siku za nyuma. Sasa mchungaji anapostopisha michango wale ambao bado hawajalipwa michango yao itakuwaje?hapa bongo baada ya mabeberu kukasirika hali ya demokrasia, hata bajeti yetu imeyumba,,,,,, bajeti ingekua kwa mujibu wa kipato isingeyumba.
huwezi fanya harusi kubwa kupita kipato kwa mgongo wa ushirikiano kutoka kwenye jamii, mbona watu wakiingia mitini kwenye kutoa mchango hali inakua tete?
Hilo nalo neno mkuu. Lakini hata sisi raia wakati mwingine tunapenda mambo makubwa wakati hatuna uwezo nayo. Hili pia ni tatizo.Ameongea ukweli..
Kwani inashindikana kufanya karamu kadri ya uwezo wako?
Au ndipo zile sherehe bibi harusi anapandishwa range rover siku ya harusi halafu baada ya harusi anaendelea kupanda daladala..
Sasa, bila watu kutoa sadaka, watalipaje bills za umeme na maji?? Yeye anatumia muda wake kufanya kazi ya kidini, atakula wapi??Ikiwa hataki watu wachangiane kwenye harusi na sherehe mbona yeye anachangiwa sadaka?
Aache double standards. Anataka watu wasitoe michango ili hizo pesa wazipeleke kwake wamtolee sadaka. Mjanja sana.Sasa, bila watu kutoa sadaka, watalipaje bills za umeme na maji?? Yeye anatumia muda wake kufanya kazi ya kidini, atakula wapi??
mkuu michango ya harusi ni miongoni mwa michango holela kama michango holela mingine tuMkuu watu wanalipana michango waliyochangiana siku za nyuma. Sasa mchungaji anapostopisha michango wale ambao bado hawajalipwa michango yao itakuwaje?
HahahahaHebu itume kwenye gurupu la harusi halafu ujifanye imekosea njia mkuu.
Kwani ukishachanga si unaenda kula na kunywa unalipiza mkuu? Kama unachanga halafu huendi kwenye sherehe kugida na kula bufee, hiyo ni shauri yako mkuu.mkuu michango ya harusi ni miongoni mwa michango holela kama michango holela mingine tu
ni upatu
Yeye hajasema hivyo, hiyo ni tafsiri yako wewe kama wewe.Aache double standards. Anataka watu wasitoe michango ili hizo pesa wazipeleke kwake wamtolee sadaka. Mjanja sana.