Huoni utaenda kinyume na utamaduni wa kiafrika wa kushirikiana kijamii? Na sio kwamba kila anayekuomba mchango hana fedha za kuendesha sherehe yake bali anataka ushirikishwaji wa ndugu na jamaa. Na baadhi ya ndugu na jamaa ukiandaa harusi peke yako bila kuwachangisha, hawawezi kuhudhuria. Watadhani umewatega.Siwezi kuchangia harusi hata awe anaoa mdogo wangu wa kuzaliwa.
Hadi anataka kuoa maana yake ameshajipanga na yupo tayari kubeba majukumu kama kiongozi wa familia.
Tutasaidiana kwenye shida za kawaida za maisha lakini sio harusi.
Mwanaume mzima huoni aibu kuchangisha michango ya harusi maana yake unatudhihirishia kwamba huna uwezo wa kujisimamia mambo yako hata huko kwenye ndoa.
Sasa akioa kimyakimya mkanda wa video utatokaje mkuu? Nani atatazama huo mkanda? Matukio ya harusi ni kama movie.Kijana oa, tualike tuje kugonga menyu, si unataka sifa? Ila usiombe tukuchangie, mpaka umeamua kuoa ina maana we unajitosheleza, huo ndio uanaume wenyewe. La sivyo aoa kimyakimya hatutashangaa
Ushirikishwaji sio lazima uwe kukamuana fedha. Unaweza kumshirikisha mtu kwa kumpa mwaliko aje ahudhurie sherehe yako inatosha.Huoni utaenda kinyume na utamaduni wa kiafrika wa kushirikiana kijamii? Na sio kwamba kila anayekuomba mchango hana fedha za kuendesha sherehe yake bali anataka ushirikishwaji wa ndugu na jamaa. Na baadhi ya ndugu na jamaa ukiandaa harusi peke yako bila kuwachangisha, hawawezi kuhudhuria. Watadhani umewatega.
Nimeishia kusoma hapa. Yaani kuoa ni hadi kuwe na mkanda wa video?Sasa akioa kimyakimya mkanda wa video utatokaje mkuu? Nani atatazama huo mkanda? Matukio ya harusi ni kama movie.
Hakika yaani kwanza unachangiaje wazinifu maana wengi wao walishagatombana...so nikabariki uzinzi wao kwa hela yangu....nope
Itume halafu zima data.Hahaha. Nilivyo na kadi za harusi sijui nitume kwa wanakamati hii video.
Kwani sherehe ni lazima mkuu? Kwanini watu wasifunge ndoa kisha warudi nyumbani kuendelea na maisha yao?Hakuna ubaya kuchangia harusi ili mradi iendane na hali ya maharusi. Sio maharusi ni makapuku halafu wanataka mambo makubwa.
Harusi = sherehe ya kuhalalisha watu wawili wa jinsia tofauti kudinyana.
Mchungaji anatoa ushauri kwa jamii.Kwa hiyo anataka kuwapangia watu maisha mkuu?
Hahaha, patatokea hali ya ubaridi.Itume halafu zima data.
Ukirudi online unawaomba radhi unawaambia kuna mtoto wako aliituma kwa bahati mbaya.
Ukirudi kuchungulia utakuta Admin removed you.Hahaha, patatokea hali ya ubaridi.