Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Heading ingekuwa hao viongoz wa dini wa kanisa hilo."Sisi Tunakula Sadaka, Maisha Yetu ni Sadaka”
Watumishi wa Mungu Pastor Victoria Joseph wa Life Center International Bible College pamoja na wengine wamesema kuwa wao kama viongozi wa dini, endapo amani itatoweka kutokana na kelele za mitandaoni, watakosa sadaka.
Wakizungumza na waandishi wa habari, viongozi hao wamewahimiza Watanzania kujitokeza kwa wingi kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025 kwa maslahi mapana ya nchi, huku wakikemea vikali wale wote wanaotaka kuvuruga amani kwa sababu zao binafsi.
Aidha, wamesisitiza kuwa wataendelea kufanya ibada ili amani iendelee kutawala, kwani maisha yao kwa asilimia kubwa yanategemea sadaka.
Wakristo ni wapumbavu sana kwenye kuelewa dini ...hadi wametupa lulu zao chini ya nguruwe (wachungaji na mitume feki)matokeo yake hao nguruwe wamezikanyaga na kuwararua"Sisi Tunakula Sadaka, Maisha Yetu ni Sadaka”
Mtumishi wa Mungu Mchungaji Victoria Joseph wa Life Center International Bible College pamoja na wengine wamesema kuwa wao kama viongozi wa dini, endapo amani itatoweka kutokana na kelele za mitandaoni, watakosa sadaka.
Wakizungumza na waandishi wa habari, viongozi hao wamewahimiza Watanzania kujitokeza kwa wingi kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025 kwa maslahi mapana ya nchi, huku wakikemea vikali wale wote wanaotaka kuvuruga amani kwa sababu zao binafsi.
Aidha, wamesisitiza kuwa wataendelea kufanya ibada ili amani iendelee kutawala, kwani maisha yao kwa asilimia kubwa yanategemea sadaka.
Hawa siyo mtu na mkewe wapo sebleni kwao?"Sisi Tunakula Sadaka, Maisha Yetu ni Sadaka”