Tetesi: Mchungaji wa KKKT anataka kudhulumu eneo letu Mbezi

Tetesi: Mchungaji wa KKKT anataka kudhulumu eneo letu Mbezi

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Mchungaji wa usharika mmoja mkubwa jijini Dsm anataka kudhulumu kiwanja chetu baada ya kumuingiza mjini msimamizi wa mirathi...

Mbaya zaidi amejenga mgorofa wake na kutaka kutudhulumu.
Tunaka kumfikishia salamu zetu atazipata kwa baba Askofu siku sio nyingi
Familia imeshamuomba kwa amani tumalizane lakini anachenga sasa niwakati wa kumuanika maovu yake na ili iwe fundisho kwa wachungaji wote wanaodhulumu mali za waumini.

Eneo ni Mbezi karibu na Mzee Yowela yeyote atakaye soma makala hii amfikishie salam hizi

Eneo lilikuwa la familia akanunua pasipo kibali cha familia. Mbaya zaidi akajiongezea mpaka eneo sio lake kiukweli familia tunataka kumuenda mwasham Baba askofu kanisa la KKKT Dsm kumshitaki.

Maana njia ya amani ameona ni ngumu sasa nikumchana live tutaweka na usharika wake katikati ya mji kufichuwa uovu huu ana siku 7 kufanyia kazi hili shauri kabla hatujamuanika.
 
Kuna mzee mmoja kanidhulumu pesa.. Mungu kaamua kumuadhibu.. Sasa ana mwezi yuko mahututi anangojea kuvuta tu.... Kwa jinsi ninavyozifahamu gadhabu za Mwenyezi Mungu.. Mzee huyu aliyenidhulumu pesa sijui kama atapona...
 
Eneo lilikuwa la familia akanunua pasipo kibali cha familia. Mbaya zaidi akajiongezea mpaka eneo sio lake kiukweli familia tunataka kumuenda mwasham Baba askofu kanisa la Kkkt dsm kumshitaki. Maana njia ya amani ameona ni ngumu sasa nikumchana live tutaweka na usharika wake katikati ya mji kufichuwa uovu huu ana siku 7 kufanyia kazi hili shauri kabla hatujamuanika.
Kama eneo kalinunua,kosa lake nini?
Inaweza kuwa huyo mwanafamilia aliyekiuza ndio mnatakiwa kushughulika naye na si mchunga kondoo.
 
Kama eneo kalinunua,kosa lake nini?
Inaweza kuwa huyo mwanafamilia aliyekiuza ndio mnatakiwa kushughulika naye na si mchunga kondoo.
Kweli makosa yalitokea ila kusogeza mipaka huo Ni uhalifu.. Eneo kubwa kimeuzwa why yeye Tu..
 
Mch wa usharika mmoja mkubwa jiji dsm anataka kudhulumu kiwanja chetu baada yakumuingiza mjini msimamizi wa mirathi...
Mbaya zaidi amejenga mgorofa wake nakutaka kutudhulumu.
Tunaka kumfikishia salama zetu atazipata kwa baba Askofu siku sio nyingi
Familia imeshamuomba kwa amani tumalizane lakini anachenga sasa niwakati wakumuanika maovu yake na ili iwe fundisho kwa wachungaji wote wanadhulumu mali za waumini.
Eneo ni Mbezi karibu na Mzee Yowela yeyote atakaye soma makala hii amfikishie salam hizi
Sasa salamu afikishiwe na wasomaji wakati haki ni yenu, vyombo vya sheria hamvijui au hizo taratibu mnazofuata hazitoshi?
 
Kama eneo kalinunua,kosa lake nini?
Inaweza kuwa huyo mwanafamilia aliyekiuza ndio mnatakiwa kushughulika naye na si mchunga kondoo.
Mhh we jamaa vipi?...kununua sio ishu,muuzaji ana mamlaka kisheria kuuza hilo eneo?...ndiyo mmliki?,kama la ulithi, walithi wote walilithia uuzaji huo?...nk.
 
Mch wa usharika mmoja mkubwa jiji dsm anataka kudhulumu kiwanja chetu baada yakumuingiza mjini msimamizi wa mirathi...
Mbaya zaidi amejenga mgorofa wake nakutaka kutudhulumu.
Tunaka kumfikishia salama zetu atazipata kwa baba Askofu siku sio nyingi
Familia imeshamuomba kwa amani tumalizane lakini anachenga sasa niwakati wakumuanika maovu yake na ili iwe fundisho kwa wachungaji wote wanadhulumu mali za waumini.
Eneo ni Mbezi karibu na Mzee Yowela yeyote atakaye soma makala hii amfikishie salam hizi
Mlikuwa wapi alipoanza kujenga? Kwanini hamkumzuia???? Kwanini usimfikishie mwenyewe unatuma mtu??? Unamuogopa????
 
Mtafute Mtu Mmoja anaitwa Paul Christan Makonda Ofisi zake zipo Ilala Boma. Ni Kijana Mfuatiliaji sana wa Migogoro korofi Kama hiyo kwa Hakika atakusaidia!
 
Mhh we jamaa vipi?...kununua sio ishu,muuzaji ana mamlaka kisheria kuuza hilo eneo?...ndiyo mmliki?,kama la ulithi, walithi wote walilithia uuzaji huo?...nk.
Unajuaje kama huyo muuzaji kathibitisha ndie mmiliki/mrithi halali?
 
Back
Top Bottom