Mchungaji wenu nimerudi. Njooni tusalimiane

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
2,437
Reaction score
1,097
Kwanza ninamshukuru Mungu anaendelea kunitegemeza.
Nilikuwa bize na mambo ya kiroho,,,, lakini pia nilikua na mchakato wa Harusi na sasa nipo na mke mwema.

Habari zenu wote kwa ujumla???? Poleni na majukumu?? Lakini pia hongereni kuingia mwaka huu wa UPAKO WA KIFALME. UTAMILIKI NA KUTAWALA.
 
Aaamen karibu tena JF kabisa pia kwenye chama cha stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…