Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,097
- Thread starter
-
- #21
c kwa kuwa anasema tuu, bali ndivyo anavyoishi na kwa matendo piaAnsante kwa jibu Zuri. Unajuaje kwamba ndivyo yuko hivyo? Kwa kuwa anasema?
mm nimeumbwa kuondoa stress kwa watu sasa icho chama mtakubali nijiunge???Aaamen karibu tena JF kabisa pia kwenye chama cha stress
asante,,,,,mama mchungaji anawasalimiaHongera kwa kupata mama mchungaji.... Karibu tenaMtumishi
Nitakaribia, kuna mambo hayaendi!asante,,,,,,sasa ivi upako umeongezeka kama unahitaj msaada wa Kimungu karibuni sana
jaman ww mshirika wangu vp bado unaendelea na Yesu???doggy style mtumishi unatumia?
ucjali mwaka huu vyuma vimeachia kabsa. tatzo watu wengi wanaishi bila kua na sauti ya Mungu ya mwaka.Nitakaribia, kuna mambo hayaendi!
Yesu simwachi....jaman ww mshirika wangu vp bado unaendelea na Yesu???
Chama la ndoamm nimeumbwa kuondoa stress kwa watu sasa icho chama mtakubali nijiunge???
ww unazipata wapi maana wengi wanapewa na waganga wa kienyeji kwa sbb wamezinuizia mapepo ya magonjwa, utasa,,ukahaba,,chuma ulete,,na uganga??Yesu simwachi....
Siku hizi nauza cheni na shanga za kiunoni mchukulie mama mchungaji basi mtumishi
Si unaziombea kwanza mtumishi, nakumbuka ulishawahi kuja hapa kutuombea shanga zetuww unazipata wapi maana wengi wanapewa na waganga wa kienyeji kwa sbb wamezinuizia mapepo ya magonjwa, utasa,,ukahaba,,chuma ulete,,na uganga??
sadaka muhimu maana inakuunganisha na ufalme wa MbinguniVp tuje na sadaka?
huwezi kumpata yupo kwny kikao na malaika wa vita MIKAELI wapanga jinsi ya kuharibu uchawi. ila no ni 0623328088mtumishi naomba no ya mama mchungaji nina shida ya maombi
c kwa kuwa anasema tuu, bali ndivyo anavyoishi na kwa matendo pia