Mchungaji Zumaridi ameenda mbinguni kwa andiko gani?

Mchungaji Zumaridi ameenda mbinguni kwa andiko gani?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
“Ameenda mbinguni kwa andiko lipi? Tunarudi kwenye Biblia, inasema juu ya habari ya kwenda mbinguni, aliyeenda mbinguni kwa mara ya mwisho ni Yesu nae alibadilishwa sio kwa mwili huu wa chipsi na soseji. Hiyo ni changamoto ya afya ya akili."- Mchungaji Richard Hananja



May be an image of 1 person and text that says 'DCtv 1 NEWS AMEENDA MBINGUNI KWA ANDIKO LIPI @danchibotv @da'
 
Hahahaha hakika tutaina mengi hapo mbelen wacha tusubir.
 
Wasukuma 2:3
Tazama Mungu wa Wasukuma atamwinua bintie mpendwa miongoni mwenu.
Naye atapaa kwenda mbinguni,
Kisha kurudi duniani kutuondolea Zambi za mwenda zake

Wasukuma 2:4
Naye bintie ni Mungu
 
Huyu anavuta influence ya wasukuma au KWA sababu wapo wengi, Ina maana huko mbinguni hata mhaya, mgogo , mzaramo ajamuona
 
Zumaridi alishasema hatumii Biblia
Na hahitaji sasa kusema anatumia andiko gani wakati yeye.hatumii Biblia hata kwake anakosalisha na hataki ni kupoteza muda kuhoji
 
Labda anaongelea kule Ifakara maeneo ya Mbingu.
 
Tutafika tumechoka sana
 

Attachments

  • IMG-20230317-WA0036.jpg
    IMG-20230317-WA0036.jpg
    47 KB · Views: 9
Kama ushasikia hizo mbingu wapare hawapo na wachagga sijui kama watakuwepo
 
Yeye ni mungu atatumiaje biblia sasa
Kuna kitu watu hawaelewi kuna maeneo mengine ya ibada sio makanisa likiwemo la Zumaridi ni kituo cha kukusanyika wachawi mchana kweupe na wanaojifunza uchawi chini ya mchawi Zumaridi wakikutana mchana kweupe jua likiwa linawaka
 
Back
Top Bottom