Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 4,876
- 1,549
| POST | MCHUNGUZI LUGHA DARAJA LA II - 1 POST |
| EMPLOYER | Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) |
| APPLICATION TIMELINE: | 2022-06-14 2022-06-27 |
| JOB SUMMARY | NIL |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kusoma miswada ya vitabu vya kitaaluma na kushauri kuhusu lugha iliyotumika; ii. Kutoa mapendekezo ya kuthibitisha lugha katika miswada; iii. Kusaidia kufuatilia kazi za wanataaluma zinazohitaji kuhaririwa; iv. Kuchunguza makosa ya matumizi ya lugha katika vyombo vya habari nchini na kuyatolea taarifa kwenye mamlaka husika; v. Kuandika Makala zinazohusiana na masuala ya lugha ya Kiswahili; na vi. Kufanya kazi nyingine atakazopewa na mkuu wake wa kazi. |
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza katika kozi za Ualimu au Lugha zinazohusisha somo la Kiswahili kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali. Awe na uwezo wa kutumia kompyuta. |
| REMUNERATION | PGSS 6 |
CLICK HERE TO APPLY