watu wenye vigezo ivyo wapo chungu mzima, isipokua kua md ktk shirika la serikali ni kama political post kwani wanasiasa wanaingilia mchakato pia, wanasiasa hua wanaweka watu wao ili nao wale, mchakato unaondelea ni wa uvutani wa makundi ya wanasiasa ila sio vigezo, kuthibitisha hilo hata NHC nao hawana Dg mpaka leo ni kwa sababu iyoiyo toka yule wa zamani alipokufa gafla, kwa mfano the acting DG NHC ana uzoefu na ana qualification na experience ya kutosha lakini hathibitishwi kwani wanasiasa wanaona si mtu wao, akiwa DG hawatakula hadi kukawa na rumors minister of the ministry concerned anaingilia mchakato!
ii nchi ya waliwao!