Anytime is tea time
Yapo mambo matatu ya kuzingatia kabla hujatoa ushauri kuhusu jambo hili,kwanza tabia za wana ndoa,pili majukumu yao na tatu umri.
Kama wanandoa ni walokole then muda muafaka ni pale wanapotaka kulala maana muda wote wapo pamoja.
Kama wana ndoa ni walevi au mmoja wao ni mlevi,then bao la asubhi linafaa zaid maana atakuwa pombe imepungua na atajua mahitaji ya mwenzake.
Kama wana ndoa wanaumri mkubwa na ni watumishi au mmoja wao anau muri mkubwa au mmoja wao ni mtumishi then bao la asubuhi haliwezekan maana litamchosha siku nzima kazini.
Otherwise kwa wale vijana muda wote ni muda wa chai!
Mnapojisikia mkuu, inakera mno pale unataka demu anakwambia eti sijajiandaa! aaahh! kwani unaiachaga nyumbani?!
bucho even during the rainy days?.................:banplease:everyday its a holiday 2 me .
bucho even during the rainy days?.................:banplease:
jumatatu ya kwanza ya mwezi na ijumaa ya mwisho ya nwezi ndo muda muafaka wa tendo la ndoa!!
manake maswali mengine jaman...mh mh hatari .hahahah!!
enzi ziiiiiiiiiiile za zaman mjumbe wa nyumba kumi ndo alikuwa na filimbi bas ikifika usiku wa saa 6 anapiga filimbi basi wanandoa waooooote wanaamka wanakula tunda then wanalala tena ...sasa ole wako usiamke mkeo kesho anapeleka kes kwa mjumbe na mjumbe pia afany ajizi....!
mi nishawai kumpeleka babu yenu sasa sjui vijana wa siklu izi mwatendaje jambo ili ..mkitaka wakat wowote vbaya kuonana aya mkitaka kuweka time tebo mchagon poa ,,ni nyinyi tu lakin sisi zaman muda muafaka na siku muafaka alikuwa anaijua mjuimbe!!!!!...ili tupate kwenda kwenyhe shughuli za maendeleo vizuri bila kutegea!!!
ewaaaaaaaaaa!!!!!!gud!! ur gud student ..unaelewa haraka saaaana!mama fulani leo si siku ya kudo?, baba fulani mwenzio sijisikii mwezi huu subiri mwezi ujao. Haya mama fulani :frusty: