au pengine ni jini
nimekuwa nae faragha kwa takribani 2 weeks, lakini sidiria yake alikuwa haivui,sasa hii huwa ina maana gani??nimejaribu kufuatilia nikaona makahaba huwa na sifa kama hizi coz huenda ikawa ndio sehemu zao sensitive akaja kukupenda wakati yy yupo kibiashara zaidi....je ni kweli au la??
Wasiliana na Mewata huenda wakakusaidia
nimekuwa nae faragha kwa takribani 2 weeks, lakini sidiria yake alikuwa haivui,sasa hii huwa ina maana gani??nimejaribu kufuatilia nikaona makahaba huwa na sifa kama hizi coz huenda ikawa ndio sehemu zao sensitive akaja kukupenda wakati yy yupo kibiashara zaidi....je ni kweli au la??
we mambo huyawezi...hujamlainisha tu vizuri angevua vyote au kukuambia umvue au itoke yenyewe....keep trying hakuna cha ukahaba wala nini
Dah, tukiwakataaa mnatulaumu, tukikubali mnakuja kutusema sema huku,
Mmmm unapenda huyo dada kweli......................basi itoe mwenyewe!!!!!
pengine hiyo ni aibu yake,au pengine anajihisi mtindi wake umelala,na anajisikia aibu maybe utamcheka kimoyomoyo.au pengine ni mapema mno kukuvulia kila kitu.mkizoeana wala hautomwambia yeye atavivua mwanzo bila ya kuambiwa.hiyo ni kawaida wewe mpe muda tu
aagh michelle hapa ntake radhi bibie!!!! halfu ieleweke kwamba nilishamwambia avue akakataa,na mtindi wake haujadrop...uko pouwa tu...sema siku-concentrate sana kama kuna kuna kitu anaficha au vp...
ha ha ha ha haaaaaa.....nakutaka radhi Sizinga....ila mwanamke haambiwi vua atiii,fanya kazi yako utaona kila kitu....l.o.l