Mdada aliye makinia akitokeze tuwajibu na kuwaenzi The Bold na Nifah

bigmind

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Posts
12,457
Reaction score
12,689
Binafsi napendezwa na kuvutiwa na hii Couple ya THE BOLD na NIFAH hapa jamii forum mpaka nashawishika kuwajibu na kisha kuwaenzi hawa maicon wetu kwa mapenzi motomoto na mubashara wanayotuonesha hapa jf.

Narudia tena mdada anayejielewa please hakuje makutano(PM) tupange na namba ya mashambulizi kwa hawa jamaa.

ZINGATIA YAFUATAYO:-
1: Uwe unajielewa na kujitambua kuanzia wewe binafsi na jamii.

2: Uwe na maono/vision na focus katika maisha.

3: Usiwe mtu wa kuyumbishwa yumbishwa na mwenye tamaa.

4: Note; don't expect much from me. The only you can do is make me to be a husband you have been dreaming. Pia mimi nitakufanya mke nimuotaye kila siku.

TAMBUA. Nifah na The Bold siyo watu wa kisipoti kisipoti kama ujiwezi usijaribu.

HAPPYBIRTHDAY NIFAH. Nakupenda shemeji letu.
 
leave nifah and the bold huwezi na hutokaa ufanane nae
 
Tutarudi huku embu ngoja kwanza habari ya jiji Kwa Sasa ni nyingine kabisa
 
Mkuu katengeneze yako facebook madem wa jf wana wenye
 
mwanamke atakaekukubali wewe atakuwa na matatizo
huko kanisani wamekukataa ,kazini ,mtaani hata majirani .wadada wa jf msidanganywe na huyu mtu hafai
Usingejitokeza kuponda ningeshangaa sana[emoji41] [emoji41] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hatutaki mazoea kuzoea..! Unaona sasa unajulikana wewe.[emoji240] [emoji240] [emoji240]
 
ATAKOMAAA!!!
halafu anasound kama jamaa flan muhuni muhuni
Bila shaka unatambua kina kirefu mimi usipime kina cha bahari kwa mguu tutakupoteza.[emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…