Mdada amechoka kuishi mwenyewe bila mume

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Baada ya kuona hapati mume, akaamua kuingia mtaani na kutafuta wa kwake, na kuanza kumng'arisha ili waendane.

Kama wadada zetu wote wangekuwa hivi, kusingekuwa na tatizo la singo maza.

Haya kazi kwenu, kuliko kuzeeka mwenye, nenda pale maeneo ya stendi, kamata wako, anza kumkarabati jinsi wewe unavyopenda mwanaume wako awe; songeni mbele.​

dy.jpg
 
Kama wadada zetu wote wangekuwa hivi, kusingekuwa na tatizo la singo maza...​
Kwani unadhani wanakosa wanaume? Wanakosa wanaume sahihi. Kuchukuwa mwanamme akiwa kwenye shida akijanjaruka atamtoroka. Ni kama wanaume wanaooa kwa kutumia fedha. Zikisha lazima mwanamke akutoroke.
 
Inakuwaje wanakosa waume sahihi mpaka wanazaa nao, na kuwakimbia?
 
Halafu kuna pisi ya kawaida huku mtaani inakudharau, inakuambia tafuta hela 😀 😀

Kuna pisi moja niliiomba game ikazingua na mim nikaipotezea.

Sasa cha ajabu kila ikiniona kitaa lazma iniombe hela, mara anataka nauli ya boda mara hela ya kula. Akinikuta napata unywaj atataka na yeye.

Sema pisi yenyewe ni nzur ila ikobroke vibaya mno.

Yani pisi hiz we acha tu..!
 
Inabidi ubebe majukumu ya wazazi wake sasa
 
Baada ya kuona hapati mume, akaamua kuingia mtaani na kutafuta wa kwake, na kuanza kumng'arisha ili waendane.

Kama wadada zetu wote wangekuwa hivi, kusingekuwa na tatizo la singo maza.

Haya kazi kwenu, kuliko kuzeeka mwenye, nenda pale maeneo ya stendi, kamata wako, anza kumkarabati jinsi wewe unavyopenda mwanaume wako awe; songeni mbele.​

View attachment 3150640
Ni soo by Pasha.
 
Back
Top Bottom