Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kwa hiyo na wewe unasubiria zali la mentali πProfessor jay : zali la mentali
Waje wajifunze kwa mrembo namba 8Ngoja waje
Vina nini mkuu?Hivyo vidore vya miguu nimeishiwa stimu!
Waje wajifunze kwa mrembo namba 8
Halafu kuna pisi ya kawaida huku mtaani inakudharau, inakuambia tafuta hela π πYan hiyo pisi unaweza cum hadi damu..!
Tatizo ni kukutana na hiyo bahatiNakupenda tu by Dudu Baya
Kwani unadhani wanakosa wanaume? Wanakosa wanaume sahihi. Kuchukuwa mwanamme akiwa kwenye shida akijanjaruka atamtoroka. Ni kama wanaume wanaooa kwa kutumia fedha. Zikisha lazima mwanamke akutoroke.Baada ya kuona hapati mume, akaamua kuingia mtaani na kutafuta wa kwake, na kuanza kumng'arisha ili waendane.
Kama wadada zetu wote wangekuwa hivi, kusingekuwa na tatizo la singo maza...
Inakuwaje wanakosa waume sahihi mpaka wanazaa nao, na kuwakimbia?Kwani unadhani wanakosa wanaume? Wanakosa wanaume sahihi. Kuchukuwa mwanamme akiwa kwenye shida akijanjaruka atamtoroka. Ni kama wanaume wanaooa kwa kutumia fedha. Zikisha lazima mwanamke akutoroke.
Halafu kuna pisi ya kawaida huku mtaani inakudharau, inakuambia tafuta hela π π
Inabidi ubebe majukumu ya wazazi wake sasaKuna pisi moja niliiomba game ikazingua na mim nikaipotezea.
Sasa cha ajabu kila ikiniona kitaa lazma iniombe hela, mara anataka nauli ya boda mara hela ya kula. Akinikuta napata unywaj atataka na yeye.
Sema pisi yenyewe ni nzur ila ikobroke vibaya mno.
Yani pisi hiz we acha tu..!
Ni soo by Pasha.Baada ya kuona hapati mume, akaamua kuingia mtaani na kutafuta wa kwake, na kuanza kumng'arisha ili waendane.
Kama wadada zetu wote wangekuwa hivi, kusingekuwa na tatizo la singo maza.
Haya kazi kwenu, kuliko kuzeeka mwenye, nenda pale maeneo ya stendi, kamata wako, anza kumkarabati jinsi wewe unavyopenda mwanaume wako awe; songeni mbele.
View attachment 3150640
Ningekuwa mimi ndio nimependwa na huyo namba 8, ningetelekeza ukoo kwa mudaNi soo by Pasha.
Inabidi ubebe majukumu ya wazazi wake sasa