CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Hii picha ni from Kenya huyo Mdada anacjoma mahindi na Viazi na si kwamba anazuga bali ni kazi yake ila tofauti ya ya Wakenya na Sisi most of people wameonekana kumtia hamasa.
Yeye ndo safari yake ya kuandika success story yake.
Sisi kwa sababu tuna Backups basi ingekuwa ni kebehi za kila aina.
Safari yako huwezi force iwe sawa na ya mwingine, make kama wewe unaona biashara ya Kuuza Magari ndo biashara kuna anaye ona ya kuuza chupa tupu ndo biashara.
Sasa sisi tuna taka kile tunacho penda ndo kila mtu afanye.
Sent using Jamii Forums mobile app