Mdada anafanya biashara ya kuchoma mahindi

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Hii picha ni from Kenya huyo Mdada anacjoma mahindi na Viazi na si kwamba anazuga bali ni kazi yake ila tofauti ya ya Wakenya na Sisi most of people wameonekana kumtia hamasa.

Yeye ndo safari yake ya kuandika success story yake.

Sisi kwa sababu tuna Backups basi ingekuwa ni kebehi za kila aina.

Safari yako huwezi force iwe sawa na ya mwingine, make kama wewe unaona biashara ya Kuuza Magari ndo biashara kuna anaye ona ya kuuza chupa tupu ndo biashara.

Sasa sisi tuna taka kile tunacho penda ndo kila mtu afanye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh jivu lote hilo + moshi, jasho, jua bado ana mwonekano huo? [emoji15] [emoji15]
Angekuwa kwenye bonge movie km wale madada zetu level yake nadhani ingekuwa siyo ya sayari hii labda huko mars.
 
Kwani hiyo sio kazi? au kwa mujibu ulivyo fundishwa na walimu wako kazi ni kukaa kwenye AC?

Yeye anafurahia. Duniani fanya kile unacho kuwa na furaha nacho. that is it

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapo kifuani naona na muhindi wa mbegu ya PANA
 
Sasa huyu ndiye anatakiwa apewe kitambulisho
 
Sasa huyu ndiye anatakiwa apewe kitambulisho

Huyu hatakiwi kupewa kitambulisho kwani hizo buku mbili zinampunguzia mtaji; huyu kwa serikali iliyokuwa makini alitakiwa aongezewe mtaji kwa kupewa mkopo!!! Hivyo vitambulisho havitawasaidia machinga bali ni mradi wa kupata fedha za kulipia madeni ya JIWE na genge lake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…