Ila fanya kama douta na mama wasijue...Dah, noma sana!
Hii nayo comment ?????aise???? hii nayo thread???
Mtume tu wife atanikuta. Hiyo business yako na mzee aisee sijui hata inavyoenda
Teh teh..Mi nilijuaga sikukuu watu wanapiga nguo mpya tu kumbe hadi vifuniko tehNilijua umeshaenda kwenye group ya wasapu kuuliza, "Hivi mwanaume akiuliza unaenda wapi anataka nini?"
BTW are you fine?
Daddy yako Kaboom yuko bize siku hizi, nadhani msimu wa sikukuu biashara itakuwa imechanganya
Douta itabidi nikufungulie lako la vifuniko vya achaliHahaha nimeshauliza zamaniiii. Namshukuru Mungu Niko poa kabisa. Yani hapa ndo natype cha mwisho, tupo dukani hapa na kuna wateja mob, nawapimisha. Vifuniko vinatokajeee
Poa..Ila kuwapima hairuhusiwi
Mzee kupima ndo utajiri wenyewe etiPoa..Ila kuwapima hairuhusiwi
Poa..Ila kuwapima hairuhusiwi
Mzee kupima ndo utajiri wenyewe eti
Hahaha ndiyo mteja wangu.....Coming soonHa! Kwani anakufungulia vifuniko vya me?
Hii nayo comment ?????
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]