Habari zenu, kuna mdada nilifahamiana nae wakti npo kidato cha 5(kwenye kutembeleana kishule) na tumekuwa marafiki mpk leo. Mm kwa ss niko mwaka wa 3 bt pia nafanya kazi. Hyu dada wiki jana kanambia ana tatizo babake kadhurumiwa pesa na wafanyabiashara wenzake so yupo hoi kwa bed presha juu na hana pesa kwa sasa.dad akasema hana ada ya ya chuo na hana means ya kupata ela,ndugu wanamuahd bt amna chochte akaomba nimsaidie,coz ni rafiki yangu nikamtumia kias flan alipe c mwajua inalipwa kwa installments. Sasa dada anasema amegundua nna upendo sn na anaomba tuwe wapenzi. Cjajua nifanye nn waungwana naombeni ushauri!!