Mdada anatafuta mchumba.

Landala

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
997
Reaction score
478
Kuna mdada tuna kaa nae kitaa,ana miaka 24 ana hitaji mchumba kuanzia miaka 26 na kuendelea,hachagui dini wala kabila,kwa mwanaume aliye tayari awasiliane naye kwa namba zifuatazo,0789 555588 au 0763 300004.
 
Ok ngoja nimpigie.
 
Acha kuharibu jukwaa kwa ****** wako hapa, umeambiwa hiyo mitandao ya Voda na Airtel inasaka wachumba??
 
Mbona nimepiga mara tatu nzima nimeambiwa kuwa mwenye simu anaongea na mume wake?
 
Kama mnaoishi nae na kumjua kiundani mmemshindwa je hawa wanaume wa kwenye mitandao na kutoka shm tofauti ndo watamweza?
 
Mbna namba zote hazipohewani na hazijatumika kwa muda mrefu
 
Ukipiga tu siku ya pili waombwa vocha
 
mbona wanasema haipatikani? washa basi. mi nmependa hili bandiko tatizo bado namba haijapatikana.
 
Na mie pia nimetokea kumpenda,muulize ndoa 2tafunga lini?
 
Nashangazwa sana n hawa mnaojaribu kurespond kw madada wanaotafuta wachumba,wawezaje kumnunua mbuzi aliye kwnye gunia? Nataka tu kujua yuko wapi ili nmuone thn 2zungumze c kw cmu tu bal live,anbp 0759947397! Nipo shy-town!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…