mdada fulani aliambiwa 'dadavua' akaanza kuvua nguo, teh! teh

mdada fulani aliambiwa 'dadavua' akaanza kuvua nguo, teh! teh

Sokoro waito

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
2,201
Reaction score
2,599
yes yes, ni utani tu wa hapa na pale maana maisha yanahitaji tucheke tufurahie pia,

unajua siku moja mdada fulani alikuwa amekaa na jamaa mmoja ndani ya room wanapiga stori, mara ooh jamaa hakuelewa jambo fulani, akamwambia yule dada 'dadavua' wacha weee, mdada wa watu akaanza kuvua nguo!!!!!!!!!! kumbe jamaa alimaanisha afafanue hilo jambo kwa undani zaidi.

kumbe kiswahili kigumu wajameni,

neno 'dadavua' na 'dada vua' ni maneno mawili tofauti!!!!!!!!

angalia ewe mdada wa JF usije ukaambiwa dadavua, ukaanza kuvua nguo, teh teh ...........
 
Back
Top Bottom