mdada kanasa kwa jambazi.......

huyu dada miez michache iliyopita si ndo alikua anatafuta mpenz hapa jf
 
Ujambazi wake unatofautianaje na ujambazi wa mafisadi,,wachungaji feki,? babu wa loliondo? Uchakachuaji wa kura etc?
kuna dhambi fiziko na dhambi spiritual, hapa wanadai dhambi spiritual sio makosa
 
Tena leo tu nilikuwa nakuwaza maana nilikumiss sana.

Mwambie aachane na huyo jambazi matukio matatu si mchezo
Dena i missed u too.
usiwe mwoga sana mjini huwezi jua mmeo kafanya nini leo.
 
this is the life br!samaki mkubwa anameza mdogo.Hakuna tajiri ambaye hana criminal conduct in his life time.
Kwa hiyo huyo mdada abaki bila kuolewa????????????????

kuolewa ni tiketi ya kwenda wapi
 
ushauri dear!!!!!!

Uzuri wenyewe 40% na umri ushaambaa pana ushauri tena hapo! 😛

Jokes aside, afanye haraka aondokane nae ila kwa step. Maana ndo jambazi tena lisije kumdhuru
 
naona humtakii mema shosti wangu.

Yeye ndio hajitakii mema kwani alitakiwa akimbie the moment amejua ukweli.....ukitafakari vyema utaona kwamba hizo habari kuwa hajawahi kuua ni kumpoza tu...na hizo story za mawifi zake kuwa jamaa kabadilika ni uongo mtupu...
 
Uzuri wenyewe 40% na umri ushaambaa pana ushauri tena hapo! 😛

Jokes aside, afanye haraka aondokane nae ila kwa step. Maana ndo jambazi tena lisije kumdhuru
mkaka mwenyewe ni mpole na hana papara (kama vile amesomaga seminary schools)
mnanipa wakati mgumu kumwambia amwache mpenzi wake nitaanzaje????
 
Yeye ndio hajitakii mema kwani alitakiwa akimbie the moment amejua ukweli.....ukitafakari vyema utaona kwamba hizo habari kuwa hajawahi kuua ni kumpoza tu...na hizo story za mawifi zake kuwa jamaa kabadilika ni uongo mtupu...
hao mawifi hawajui kama kaka yao ni mtu wa chuma/jambazi.
jamani wadada tunapenda vibaya
 
mkaka mwenyewe ni mpole na hana papara (kama vile amesomaga seminary schools)
mnanipa wakati mgumu kumwambia amwache mpenzi wake nitaanzaje????

Kwani maamuzi yako yoyote yeye atayafuata?
 
hao mawifi hawajui kama kaka yao ni mtu wa chuma/jambazi.
jamani wadada tunapenda vibaya

Hebu mwambie aumize kichwa kidogo...ana uhakika gani wifi zake hawajui 'kazi' ya kaka yao...je kama wanamchezea shere?
Hapo uliposema mnapenda vibaya nakubaliana nawe...mnapenda hadi matumizi ya ubongo yanasitishwa....
 
Hata yhy atakua jambazi coz anafuga jambazi kama yy ni mstaarabu akaripoti polisi
 
Huyo mdada wala asimwache huyo bf kwa sababu ni jambazi, kitaalam (in criminology) huyo dada ana uwezo wa kumshawishi huyo bf wake kuacha ujambazi na akaacha tofauti na mtu mwingine yeyote.
 
Hiyo 40% katoa jambazi au ww ? This whole thing doesn't sound right !!

Uzuri kwa 40% manake halipi sana kwa hiyo lazima akomae na anayemkaribia.
Anahofia umri na figure yake vitamkosesha mume na kashampenda huyu jambazi.
 
Nampa pole, siku akiliacha hilo jambazi lazima limdhuru let alone kumkiri!! "UMEJUA SIRI ZANGU LAZIMA UFE" hii ndo itakuwa kauli ya huyo jambazi!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…