Mdada kutenga chakula kabla ya maji ya kunywa au maji ya kunawa hivi ni makusudi , kutokujua au kutokufunzwa

Mdada kutenga chakula kabla ya maji ya kunywa au maji ya kunawa hivi ni makusudi , kutokujua au kutokufunzwa

Atanandi

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2023
Posts
341
Reaction score
483
Yani kuna matendo mnaweza ona kama havina maana ila ,kiukweli vina maana kubwa mno

Unaenda sehemu unaletewa chakula kabla ya maji ya kunywa au ya kunawa


Kibaya Zaid unakuta mke wa mtu yupo kweny ndoa nae atenga chakula Kwa style hii hii


Mama zangu/ zetu ,tufundishieni mabinti zetu Ili wasiachike . Ni aibu
 
😅😅😅 maji ya kunywa ni muhimu zaidi
 
Kama umeoa nampa pole sana mkeo kwa kupata mume zaidi ya mkoloni
 
😆 aisee sisi wengine kutoboa ni ngumu sana, sasa hadi hili nalo ni shida?
 
Back
Top Bottom