Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,869
- 11,651
Upo maeneo gani?Heshima yenu. Nahitaji mdada anayepatikana Dar es Salaam mjuzi hasa wa mapishi aje apike siku ya Krismas. Piga namba hii 0683 565025
Kigamboni maeneo ya ChekecheaUpo maeneo gani?
Anaruhusiwa kuja na mmewe au unataka baada mapishi umle nayeye?? Huna ndugu,jamaa na marafiki huko kwenu wanaojua kupika? Wewe una lako jambo zaidi ya kupika!Heshima yenu. Nahitaji mdada anayepatikana Dar es Salaam mjuzi hasa wa mapishi aje apike siku ya Krismas. Piga namba hii 0683 565025
Rutagwerera Sr una mke hapo nyumbani au shemeji mwanamke? Nina mpishi mzuri tu ajuaye kupika kila aina ya chakula, nataka nikuletee hapo nyumbani ila nina matakwa yangu nataka yatekelezwe. Huyu mwana mama atakupikia ila nami itabidi unipe mmoja kati ya mkeo au shemeji yako nijivinjari naye nikiwa nasubiri huyu demu kumaliza kukupikia. Kama uko serious nijulishe.Heshima yenu. Nahitaji mdada anayepatikana Dar es Salaam mjuzi hasa wa mapishi aje apike siku ya Krismas. Piga namba hii 0683 565025
Nimepata mkuu kuna mdada amenipigia.Rutagwerera Sr una mke hapo nyumbani au shemeji mwanamke? Nina mpishi mzuri tu ajuaye kupika kila aina ya chakula, nataka nikuletee hapo nyumbani ila nina matakwa yangu nataka yatekelezwe. Huyu mwana mama atakupikia ila nami itabidi unipe mmoja kati ya mkeo au shemeji yako nijivinjari naye nikiwa nasubiri huyu demu kumaliza kukupikia. Kama uko serious nijulishe.
Aisee, huyo dada kaja peke yake hapo bila mtuwe? Nakuonea wivu aisee maana najuwa huyo demu atachapwa katerero leo hii mpaka atasalimu amri, tuwakilishe vizuri mkuu.Nimepata mkuu kuna mdada amenipigia.
Umenifurahisha ndugu 😂