KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
habari zenyu bana, nipende kuwaarika wadada wa kati ya age 20 to 29 wanao hitaji mume sifa elimu angalau form four, asiwe gori keeper awe na shughuli ya kumwigizia kipato cha wastani, dini mkristo itapendeza, kama dini nyingine awe tayari kubadili mimi ni graduate sifanyi kazi ninashughuli zangu binafsi siyo handsome kiivyo ila very understanding, kwa walio serious nitafuteni ila anatakiwa mmoj tu, sifa kubwa awe na wivu ndo tutaenda sawa....! UNAWEZA KUNI PM