KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Kwa sababu umesema we ni graduate na haufanyi kazi basi naelewa kuwa umeamua kujitafutia kazi.
Hongera kwa kupata kazi. Ubunifu wako mzuri
Dah!! Hapo me Dini tu ndo imenikosesha mume. Maskn 😕 Nyrum mie na uwife material wote nimekosa mume!!! Wenye bahati zenu mukuje jamani mume huyo