Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Mwanamke mmoja mjini Stockholm nchini Sweden amevuruga shughuli batili ya kuichoma Quran iliyokuwa ikifanyika mjini humo.
Kitendo hicho kilikuwa kikifanywa na Salwan Momika mkimbizi kutoka Iraq ambaye amekuwa akipewa vibali vya kuchoma Qur'an kama anavyopenda.
Momika anasema anataka azuie watu wa Sweden kufikiwa na ujumbe wa Qur'an